Faida za juisi kwa mwili
1. Chanzo cha vitamini na madini
Juisi safi hujaza mwili vitamini kama vitamin C, A, K, na B pamoja na madini kama potassium, magnesium, na calcium.
2. Huimarisha kinga ya mwili
Vitamin C na antioxidants zilizopo kwenye juisi husaidia mwili kupambana na magonjwa na kuimarisha mfumo wa kinga.
3. Huongeza maji mwilini
Juisi ina maji mengi ambayo husaidia mwili kuepuka upungufu wa maji.
4. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula
Juisi ya matunda yenye nyuzinyuzi kidogo (kama ya chungwa au papai) huchangia katika kusaidia mmeng’enyo na kuzuia kuvimbiwa.
5. Kutoa nguvu haraka
Sukari asilia kutoka kwenye matunda (fructose) hutoa nishati ya haraka kwa mwili.
6. Kusafisha mwili (detoxification)
Juisi hasa za mboga kama spinach, karoti, beetroot husaidia kusafisha ini na figo na kuondoa sumu mwilini.
7. Afya ya ngozi
Antioxidants na vitamini kutoka juisi (hasa vitamin A na C) husaidia kupunguza uzee wa ngozi na kuifanya ing’ae.
KARIBU MOROGORO NATURAL HERBAL UJIPATIE JUICE TIBA KWA BEI NAFUU SANA TUPIGIE 0680288219
0 Comments